Sunday, 19 July 2015

MTANGAZAJI GODWIN GONDWE ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE

0 comments
Mtangazaji wa siku nyingi wa ITV na Mhadhiri chuo kikuu cha Tumaini Makumira Dar es salaam amechukua fomu kupitia chama cha mapinduzi CCM kuwania kuteuliwa katika nafasi ya Ubunge katika jimbo la Ilemela Jijini Mwanza.


Endelea Kusoma >>

Monday, 23 February 2015

MC GODWIN GONDWE ON SEVERAL EVENTS

0 comments

 MC wa Hafla hiyo Godwin Gondwe akijiandaa kuwaingiza maharusi ukumbini tayari kwa hafla yao.
 Msanii mahiri wa ngomanyimbo za asili Wanne Star akitumbuiza kwenye sherehe hiyo,kulia kwake ni aliyekuwa muongoza hafla hiyo,Godwin Gondwe.
Mtangazaji wa shindano hilo, Godwin Gondwe akitaja washiliki waliyoingia kwenye danger zone.
Endelea Kusoma >>

GODWIN GONDWE KATIKA KAZI MBALIMBALI ZA USHEHERESHAJI

0 comments

Endelea Kusoma >>
 
GODWIN GONDWE © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by IBS.
imagem-logoRudi Juu