Mtangazaji wa siku nyingi wa ITV na Mhadhiri chuo kikuu cha Tumaini Makumira Dar es salaam amechukua fomu kupitia chama cha mapinduzi CCM kuwania kuteuliwa katika nafasi ya Ubunge katika jimbo la Ilemela Jijini Mwanza.
Home »Unlabelled » MTANGAZAJI GODWIN GONDWE ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment